Wednesday, July 15, 2015

Kwenye viwanja vya World cup 2018 ndani ya Russia viko na hivi vitano….(Pichaz)

Kombe la dunia linatarajia kufanyika mwaka 2018 na tayari Shirikisho la soka duniani FIFA limeitangaza nchi ya Russia kuwa wenyeji wa michuano hiyo mikubwa zaidi duniani.
Tayari Russia imeanza maandalizi kwa ajili ya mashindano hayo na viwanja vitakavyotumika vimeanza kujengwa katika maeneo mbalimbali.
Brazil ndio walikuwa wenyeji wa fainali zilizopita ambapo bingwa alikuwa Ujerumani
 
A general view of the construction work during a media tour of Russia 2018 FIFA World Cup venues at Fisht Stadium on July 13, 2015 in Sochi, Russia.
Uwanja wa Fisht Stadium uliopo mji wa Sochi, Russia
 
SOCHI, RUSSIA - JULY 13:  A general view of the construction work during a media tour of Russia 2018 FIFA World Cup venues at Fisht Stadium on July 13, 2015 in Sochi, Russia.  (Photo by Laurence Griffiths/Getty Images)
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 

No comments:

Post a Comment