Friday, July 17, 2015

Pichaz jinsi mastaa wa Chelsea walivyotua Canada tayari kwa maandalizi ya ligi kuu…

Chelsea ndio mabingwa wa ligi kuu ya England msimu uliomalizika..saa hivi tayari wameanza maandalizi ya kutetea ubingwa wao kwa mara nyingine na wameamua kusafiri hadi Canada kwa ajili ya kuanza maandalizi ya msimu mpya wa ligi hiyo.
Hapa kuna Pichaz 10 jinsi wachezaji walivyowasili Canada…
  
chelsea11
chelsea9
 
chelsea6
 
 
chelsea4
 
chelsea2
 
 
 
 

No comments:

Post a Comment