Friday, July 17, 2015

Sunday Oliseh kuinoa Super Eagles






Oliseh anachukua mikoba ya Stephen Okechukwu Keshi ambaye alitimuliwa mwanzoni mwa mwezi huu.
Akizungumza na RDP online Oliseh amejigamba kwa kusema, "Tuna vipaji vya kuleta mabadiliko, kurejesha heshima ambayo tuliwahi kuwa nayo. Kwa mpira wa Afrika hii ni kazi kubwa lakini Kwa kushirikiana na kila mtu Super Eagles watapaa tena"
Hata hivyo katika kibarua chake hicho cha ukocha Oliseh atasaidiwa na mbeligiji Jean Francois Losciuto wakati huu kikosi hicho kikiwa kunajkupambana na Tanzania mapema mwezi wa Septemba mwaka huu katika michuano ya kufuzu ya mataifa ya Afrika

No comments:

Post a Comment