Friday, July 17, 2015

Hivi ndivyo walivyopokelewa bayer Munich Beijing

Klabu ya Bayern Munich imesafiri kwa muda wa masaa tisa kutoka Ujerumani hadi  China kwa ajili ya kuweka kambi ya maandalizi ya msimu mpya wa Bundesliga, huo huwa ni utaratibu wa vilabu vingi duniani. Story hapo mtu wangu si kuweka kambi Beijing ila ni mapokezi walioyapata mtu wangu ilichukua dakika zisizopungua 30 tu umati wa watu unaokadiriwa kufikia 1000 kukusanyika wakiwapokea huku wakiombwa kusainiwa vitabu vyao vya kumbukumbu autographs.
Watu wengi wanaohudhururia mazoezi yao, uwanja unafurika kama kuna mechi. Mashabiki wamekuwa wakiomba kupiga picha na wachezaji, lakini pia wachezaji hawakuwa nyuma kuchukua kumbukumbu zao kwa kupiga picha kwa kutumia simu zao. Wachezaji kama Philipp Lahm,Manuel Neur na wengine wamekiri kitu kama hicho hutokea mara chache tu. walivyopokelewa beijiing
















No comments:

Post a Comment