Friday, July 17, 2015

Mandalizi ya ziara ya Obama Kenya yapamba moto

 

Uwanja wa Ndege wa Jomo Kenyatta umekuwa busy sana zaidi hata ya ambavyo ulikuwa sik
Ndege kubwa ya Kijeshi ikiwa Uwanja wa Ndege wa Jomo Kenyatta, Nairobi Kenya.
 unaambiwa kila siku hakukosekani stori kutoka Nairobi Kenya kuhusu ugeni wa Rais Obama.

2015-07-12T070439Z_912071196_GF10000156697_RTRMADP_3_MEXICO-GUZMAN - Copy





air1
Usalama kwanza, YES.. Marekani hawana utani kabisa na Usalama wa Rais wao, zinashuka ndege kila siku pamoja na makundi ya watu wa Usalama ili kuhakikisha mpaka Rais Obama anatua hali inakuwa shwari japo kumekuwa na mashambulio mengi sana yanayohusiana na matukio ya Ugaidi.
Imetua ndege kubwa ya Kijeshi na vifaa vingine vingi zaidi.
air2
Msafara wa gari zilizoshushwa kwenye ndege hiyo.
air3
Kwa mbali unaonekana msafara wa gari kutoka Uwanja wa Ndege wa Jomo Kenyatta.

No comments:

Post a Comment